BANK
Article Pic

Mapema Ndio Best for Your Child’s Financial Success

Mum, please buy me this Lego set? My friends in school have phones, can I get one? Akina Makena went to Dubai for holiday, mum si pia sisi tuende? Can I get this snack, si uko na M-PESA?

Ni mara ngapi you’ve heard these questions from your kids na ukajibu “Kwani you think money grows on trees?” Ama wewe ni “Team Ntakununulia Kababa”?

Imagine venye unahandle their money requests itaaffect their financial future.

Your child starts setting their future financial habits by the age of seven! The earlier you start showing them good financial habits, the better.

So, tusilalie maskio, wacha niwachanue na tips kadhaa to set your toi up for success.

1. Give Your Child Some Financial Independence

Si unaelewa theory ya learning on the job? Your kid hatajua kumanage doh unless anaifanya practically. Usingoje saa ile ameingia campo ndio unaanza kumfunza kubudget.

Start now, hata kama ni 50 bob. Itakupea chance ya kumfunza saving, budgeting and planning for future goals. Tie that money to an achievement kama marks poa shule ama kusaidia kwa hao.

2. Make Money fun

Skiza, naelewa vile hii uchumi inatumaliza nguvu, lakini mtoi wako ananeed positive relationship na doh.

Games ni mingi online za kumfunza kutrack doh yake, kubudget na kucalculate pesa. Kaa naye, mspend quality time na games kama Peter Pig’s Money Counter, Financial Football, na The Payoff. Ama uanze visimple mkienda shopping, job yake ni kucalculate change.

3. Encourage A Saving Culture

When it comes to saving, mapema ndio best. Hebu imagine vile mtoi wako atafeel akifika 18 na akona thao kadhaa kwa savings. Independence is empowering. Najua, kuna cute piggy banks, lakini hiyo ni kama kuweka doh kwa mattress!

Fungulia mtoi wako KCB Cub account na umjenge na KES 1,000 to start off. The rest is up to them. Watalearn the power of compounding interest juu doh yake itapata up to 8.5% interest per year.

Anaweza kuwa na short term goals kama birthday present ya babu yake ama mall outing na mabeshte. Lakini pia mfunze kuplan for the future kama start-up capital ya biz fulani.

Anyways, mambo ni mengi masaa ndio machache. The best time kuanza financial journey ya mtoi wako ni leo

 

Over and Out

Witty Banker

May 13, 2024 Trending

Popular Articles