Cravinggggssss… hii kitu inaweza fanya upendwe zaidi ama uachwe.
“Babeee, aki I have cravings..” Kama ukona mpoa najua you can relate.
Shida ya hii statement ni moja- timing. Saa ingine inaweza kupata kama mfuko haina kakitu alafu unaanza kuskia zile “if he wanted to he would…” statements. 😂
Kidogo Kidogo ukiuliza cravings ni za nini, unaambiwa, “I want KFC…”
Saa hiyo wewe ile kitu umeonja tangu jana ni kamande. Aki mapenzi wewe!!
Lakini juu lazima tusatisfy cravings acha nikupee fom.
KCB Mastercard wamefanya ile kitu.
Ukiorder KFC through Uber Eats app, alafu ulipe using any KCB Mastercard unapata 25% discount.
What do I mean?
Najua unajiuliza hii offer inaisha when? Cheki ukona hadi 31st December.
So, next time babe anakutumia, “Nina cravings,” usianze kusweat maskio.
Kimbia pale UberEats app, tumia your KCB Mastercard and save that 25%. Cravings sorted, wallet saved.
25% OFF ni discount ya kumiss kweli?
Over & Out,
Witty Banker
We value your privacy. While using this website we would like to use cookies and similar technologies to collect data. Collecting this data helps us improve your experience on this site, analyze site usage and personalize message content .By clicking “Allow All”, you consent to the use of cookies. You can find out more in our cookie policy.