BANK
Article Pic

Shinda Cash ya Holidays Transfer Ikiland

Close those laptops beloved, hiyo kazi tutaendelea nayo January.

Sai kama si sherehe, road trip, wedding ama ruracio, kitu iko kwa akili hii Dec ni pesa tutatumiwa na our Diaspora peeps. Otherwise pesa ya impulse buying itatoka wapi?

So, acha tuwatolee fom sasa. What if, on top of pesa unatumiwa kutoka majuu, tuwaongezee za kabej hii festive season? (Admin hawapimi)

That’s right, pitia your nearest KCB branch ukireceive pesa from abroad, place your withdrawal na ni hivyo unaeza jishindia voucher ya Krisi.

How does it work?

  • Step 1: Receive money globally from your loved one either through Western Union,Moneygram, Transfast or RIA
  • Step 2: Tembelea any KCB branch and make your withdrawals

If you are the 10th or 20th customer to receive money from abroad through any of the International Money Transfer partners, you will receive a shopping voucher.

Ebu imagine! Unakuja kuchukua pesa ya rent ama school fees unatoka na za nyama choma juu!  

Tell a friend to tell a friend, pesa zikiland, destination ni ile moja.

Till next time,

Witty Banker 😊

Dec 06, 2024 Trending

Popular Articles