Ushawai kaa chini ukajiuliza hii doh yote yenye wee humake huenda wapi?
Nikama principle unaishi nayo ni “money in, money out” – yaani doh yako inaingia ikitoka. Alafu ukiharibu maneno kabisaa, pesa yenyewe haitoshi!!
Kaa chini mkuu!
Leo nataka nikufunze kitu moja ya maana sana.
Repeat after me…” KCB Goals Savings Account”. Say it with your chest mkuu!
Hii ni account yenye inakusaidia kusave for expenses zako zote. Kama unakuaga na kale kashida ka kutumia pesa ndio ikuzoee alafu hiyo pesa inaisha, hii account itabadilisha game yako for the better.
With a KCB Goals Savings Account, you can plan vile utasave for short term goals zako kama ni kwenda vacay, ama ata kununua hiyo iphone ndio uanze kutuambia ‘welcome to my channel’
Nataka pia ujue ukisave na KCB Goals Savings account, unapata competitive interest rate na hakuna monthly fee!! Nikuulize tu swali, uliskia wapi deal safi kama hii?
Pia unaweza;
In short, kama unataka kukua ule msee mwenye focus yake ni kugrow sio kushida akisema “aki pesa wewe –“ mambo ni rahisi sana…
Fungua KCB Goals Savings Account with the KCB app na uanze kusave vismart hadi watu waanze kukuuliza wee hutoa doh wapi.
Fom ni kuplan, Na kusave kibazu.
Now go forth, chapa hustle yako and secure that bag. Mwaka ni wakufosi tukisave!
Over and out,
Witty Banker.
January is cruising nicely, but let’s be...
We value your privacy. While using this website we would like to use cookies and similar technologies to collect data. Collecting this data helps us improve your experience on this site, analyze site usage and personalize message content .By clicking “Allow All”, you consent to the use of cookies. You can find out more in our cookie policy.